Yeremia 23:25 BHN

25 Mimi nimeyasikia maneno waliyosema hao manabii wanaotabiri uongo kwa jina langu, wakisema, ‘Nimeota ndoto, nimeota ndoto!’

Kusoma sura kamili Yeremia 23

Mtazamo Yeremia 23:25 katika mazingira