Yeremia 23:34 BHN

34 Tena nabii au kuhani, au mtu yeyote atakayesema ‘Mzigo wa Mwenyezi-Mungu,’ nitamwadhibu pamoja na jamaa yake yote.

Kusoma sura kamili Yeremia 23

Mtazamo Yeremia 23:34 katika mazingira