Yeremia 23:35 BHN

35 Kitu mnachopaswa kuulizana nyinyi kwa nyinyi ni ‘Mwenyezi-Mungu amejibu nini?’ au, ‘Mwenyezi-Mungu amesema nini?’

Kusoma sura kamili Yeremia 23

Mtazamo Yeremia 23:35 katika mazingira