Yeremia 23:36 BHN

36 Lakini jambo la ‘Mzigo wa Mwenyezi-Mungu,’ msilitaje tena. Kile anachosema binadamu ni mzigo kwake mwenyewe. Watu wanayapotosha maneno ya Mungu aliye hai, Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wao.

Kusoma sura kamili Yeremia 23

Mtazamo Yeremia 23:36 katika mazingira