Yeremia 23:37 BHN

37 Basi mtamwuliza nabii hivi: ‘Mwenyezi-Mungu amekujibu nini?’ au, ‘Mwenyezi-Mungu amesema nini?’

Kusoma sura kamili Yeremia 23

Mtazamo Yeremia 23:37 katika mazingira