5 “Tazama, siku zaja nitakapomchipushia Daudi chipukizi adili. Huyo atatawala kama mfalme, na atatenda kwa busara, haki na uadilifu katika nchi.
Kusoma sura kamili Yeremia 23
Mtazamo Yeremia 23:5 katika mazingira