Yeremia 23:6 BHN

6 Katika siku za utawala wake, Yuda ataokolewa na Israeli ataishi kwa usalama. Naye ataitwa, ‘Mwenyezi-Mungu ni uadilifu wetu.’

Kusoma sura kamili Yeremia 23

Mtazamo Yeremia 23:6 katika mazingira