Yeremia 23:7 BHN

7 “Kwa hiyo siku zaja, nasema mimi Mwenyezi-Mungu, ambapo watu hawataapa tena kwa kusema, ‘Kama aishivyo Mwenyezi-Mungu aliyewatoa watu wa Israeli nchini Misri’,

Kusoma sura kamili Yeremia 23

Mtazamo Yeremia 23:7 katika mazingira