Yeremia 23:8 BHN

8 bali wataapa kwa kusema, ‘Kama aishivyo Mwenyezi-Mungu aliyewatoa na kuwaongoza Waisraeli kutoka nchi ya kaskazini na kutoka nchi zote ambako aliwatawanya.’ Kisha wataishi katika nchi yao wenyewe.”

Kusoma sura kamili Yeremia 23

Mtazamo Yeremia 23:8 katika mazingira