Yeremia 23:9 BHN

9 Kuhusu hao manabii wasiofaa,mimi imevunjika moyo,mifupa yangu yote inatetemeka;nimekuwa kama mlevi,kama mtu aliyelemewa na pombe,kwa sababu yake Mwenyezi-Munguna maneno yake matakatifu.

Kusoma sura kamili Yeremia 23

Mtazamo Yeremia 23:9 katika mazingira