Yeremia 23:10 BHN

10 Maana, nchi imejaa wazinzi;kwa sababu ya laana, nchi inaomboleza,na malisho ya nyanda zake yamekauka.Mienendo ya watu ni miovu,nguvu zao zinatumika isivyo halali.

Kusoma sura kamili Yeremia 23

Mtazamo Yeremia 23:10 katika mazingira