Yeremia 23:11 BHN

11 Mwenyezi-Mungu asema:“Manabii na makuhani, wote hawamchi Mungu,uovu wao nimeuona hata nyumbani mwangu.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.

Kusoma sura kamili Yeremia 23

Mtazamo Yeremia 23:11 katika mazingira