10 Basi, wakuu wa Yuda waliposikia mambo hayo, walipanda kutoka katika nyumba ya mfalme, wakaenda katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, wakaketi penye Lango Jipya.
Kusoma sura kamili Yeremia 26
Mtazamo Yeremia 26:10 katika mazingira