Yeremia 26:12 BHN

12 Ndipo Yeremia akawaambia wakuu na watu wote: “Mwenyezi-Mungu alinituma niwatabirie mambo yote mliyosikia nikiyasema dhidi ya hekalu hili na mji huu.

Kusoma sura kamili Yeremia 26

Mtazamo Yeremia 26:12 katika mazingira