Yeremia 26:8 BHN

8 Basi Yeremia alipomaliza kutangaza mambo yote ambayo Mwenyezi-Mungu alimwamuru ayatangaze kwa watu wote, makuhani, manabii na watu wote walimkamata na kusema, “Utakufa!

Kusoma sura kamili Yeremia 26

Mtazamo Yeremia 26:8 katika mazingira