Yeremia 27:8 BHN

8 “Lakini kama taifa lolote au utawala wowote hautajiweka chini ya mamlaka ya Nebukadneza, mfalme wa Babuloni, basi, nitaliadhibu taifa hilo kwa vita, njaa na maradhi mpaka niliangamize kabisa kwa mkono wake. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.

Kusoma sura kamili Yeremia 27

Mtazamo Yeremia 27:8 katika mazingira