Yeremia 27:9 BHN

9 Basi, nyinyi msiwasikilize manabii wenu, wapiga ramli wenu, watabiri wenu, waaguzi wenu au wachawi wenu, wanaowaambia: ‘Msimtii mfalme wa Babuloni.’

Kusoma sura kamili Yeremia 27

Mtazamo Yeremia 27:9 katika mazingira