Yeremia 28:15 BHN

15 Basi, nabii Yeremia akamwambia nabii Hanania, “Sikiliza, Hanania, Mwenyezi-Mungu hakukutuma, nawe unawafanya watu hawa waamini uongo.

Kusoma sura kamili Yeremia 28

Mtazamo Yeremia 28:15 katika mazingira