16 Kwa hiyo Mwenyezi-Mungu asema kwamba atakuondoa duniani. Mwaka huuhuu utakufa, kwa sababu umewaambia watu wamwasi Mwenyezi-Mungu.”
Kusoma sura kamili Yeremia 28
Mtazamo Yeremia 28:16 katika mazingira