Yeremia 28:3 BHN

3 Mnamo miaka miwili nitavirudisha hapa vyombo vyote vya nyumba ya Mwenyezi-Mungu ambavyo Nebukadneza, mfalme wa Babuloni alivichukua na kuvipeleka Babuloni.

Kusoma sura kamili Yeremia 28

Mtazamo Yeremia 28:3 katika mazingira