Yeremia 28:4 BHN

4 Pia nitamrudisha Yekonia mwana wa Yehoyakimu mfalme wa Yuda, pamoja na watu wote wa Yuda waliohamishiwa Babuloni. Naam, nitaivunja nira ya mfalme wa Babuloni. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Kusoma sura kamili Yeremia 28

Mtazamo Yeremia 28:4 katika mazingira