Yeremia 29:2 BHN

2 Yeremia aliiandika barua hiyo baada ya mfalme Yekonia na mama mfalme, matowashi, wakuu wa Yuda na Yerusalemu, mafundi na wahunzi kuondoka Yerusalemu.

Kusoma sura kamili Yeremia 29

Mtazamo Yeremia 29:2 katika mazingira