Yeremia 29:3 BHN

3 Barua hii ilipelekwa na Elasa mwana wa Shafani, na Gemaria mwana wa Hilkia, ambao Sedekia, mfalme wa Yuda, aliwatuma kwa Nebukadneza mfalme wa Babuloni. Yeremia aliandika hivi:

Kusoma sura kamili Yeremia 29

Mtazamo Yeremia 29:3 katika mazingira