Yeremia 3:14 BHN

14 “Rudini, enyi watoto msio na uaminifu,maana, mimi ndimi Bwana wenu.Nitawachukua mmoja kutoka kila mji,na wawili kutoka katika kila ukoo,niwapeleke hadi mlimani Siyoni.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.

Kusoma sura kamili Yeremia 3

Mtazamo Yeremia 3:14 katika mazingira