Yeremia 3:15 BHN

15 “Nitawapeni wachungaji wanipendao moyoni, watakaowalisha kwa maarifa na busara.

Kusoma sura kamili Yeremia 3

Mtazamo Yeremia 3:15 katika mazingira