Yeremia 3:16 BHN

16 Siku hizo, wakati mtakapokuwa mmeongezeka na kuwa wengi nchini, watu hawatalitajataja tena sanduku langu la agano. Hawatalifikiria kabisa, wala hawatalikumbuka tena; hawatalihitaji, wala hawataunda jingine.

Kusoma sura kamili Yeremia 3

Mtazamo Yeremia 3:16 katika mazingira