Yeremia 3:21 BHN

21 “Kelele zasikika juu ya vilima:Waisraeli wanalia na kuomboleza,kwa kuwa wamepotoka katika njia zao,wamenisahau mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao.

Kusoma sura kamili Yeremia 3

Mtazamo Yeremia 3:21 katika mazingira