Yeremia 3:22 BHN

22 Rudini, enyi watoto msio na uaminifu,mimi nitaponya utovu wenu wa uaminifu.“Nanyi mwasema: ‘Tazama, sisi tunarudi kwako,maana, wewe ndiwe Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu.

Kusoma sura kamili Yeremia 3

Mtazamo Yeremia 3:22 katika mazingira