5 Je, utanikasirikia daima?Utachukizwa nami milele?’Israeli, hivyo ndivyo unavyosema;na kumbe umetenda uovu wote ulioweza.”
Kusoma sura kamili Yeremia 3
Mtazamo Yeremia 3:5 katika mazingira