Yeremia 3:7 BHN

7 Mimi nilidhani kuwa baada ya kufanya yote hayo, atanirudia. Lakini wapi; hakunirudia. Yuda, dada yake mdanganyifu, alishuhudia yote hayo.

Kusoma sura kamili Yeremia 3

Mtazamo Yeremia 3:7 katika mazingira