Yeremia 30:6 BHN

6 Jiulizeni sasa na kufahamu:Je, mwanamume aweza kujifungua mtoto?Mbona basi, namwona kila mwanamumeamejishika kiunoni kama mwanamke mwenye utunguna nyuso zao zimegeuka rangi?

Kusoma sura kamili Yeremia 30

Mtazamo Yeremia 30:6 katika mazingira