Yeremia 31:15 BHN

15 Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Sauti imesikika mjini Rama,maombolezo na kilio cha uchungu.Raheli anawalilia watoto wake,wala hataki kufarijiwa kwa ajili yao,maana wote hawako tena.

Kusoma sura kamili Yeremia 31

Mtazamo Yeremia 31:15 katika mazingira