16 Sasa, acha kulia,futa machozi yako,kwani utapata tuzo kwa kazi yako,mimi Mwenyezi-Mungu nimesema;watoto wenu watarudi kutoka nchi ya maadui zenu.
Kusoma sura kamili Yeremia 31
Mtazamo Yeremia 31:16 katika mazingira