20 “Efraimu ni mwanangu mpendwa;yeye ni mtoto wangu nimpendaye sana.Ndio maana kila ninapomtisha,bado naendelea kumkumbuka.Moyo wangu wamwelekea kwa wema;hakika nitamhurumia.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Kusoma sura kamili Yeremia 31
Mtazamo Yeremia 31:20 katika mazingira