Yeremia 31:21 BHN

21 “Weka alama katika njia zako,simika vigingi vya kukuongoza,ikumbuke vema ile njia kuu,barabara uliyopita ukienda.Ewe Israeli rudi,rudi nyumbani katika miji yako.

Kusoma sura kamili Yeremia 31

Mtazamo Yeremia 31:21 katika mazingira