Yeremia 31:8 BHN

8 Tazama, nitawaleta kutoka nchi ya kaskazini,nitawakusanya kutoka miisho ya dunia.Wote watakuwapo hapo;hata vipofu na vilema,wanawake waja wazito na wanaojifungua;umati mkubwa sana utarudi hapa.

Kusoma sura kamili Yeremia 31

Mtazamo Yeremia 31:8 katika mazingira