Yeremia 32:36 BHN

36 Sasa basi, Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, asema hivi: “Yeremia, watu hawa wanasema kwamba, kwa vita, njaa na maradhi, mji huu utatiwa mikononi mwa mfalme wa Babuloni. Lakini nasema:

Kusoma sura kamili Yeremia 32

Mtazamo Yeremia 32:36 katika mazingira