37 Nitawakusanya watu kutoka nchi zote ambako kwa hasira na ghadhabu na chuki yangu kubwa, niliwatawanya. Nitawarudisha tena mahali hapa, na kuwafanya wakae salama.
Kusoma sura kamili Yeremia 32
Mtazamo Yeremia 32:37 katika mazingira