Yeremia 35:1 BHN

1 Neno la Mwenyezi-Mungu lililomjia Yeremia wakati wa utawala wa Yehoyakimu mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda:

Kusoma sura kamili Yeremia 35

Mtazamo Yeremia 35:1 katika mazingira