Yeremia 35:2 BHN

2 “Nenda nyumbani kwa Warekabu, ukaongee nao. Kisha, walete katika chumba kimojawapo cha nyumba yangu mimi Mwenyezi-Mungu, uwape divai wanywe.”

Kusoma sura kamili Yeremia 35

Mtazamo Yeremia 35:2 katika mazingira