Yeremia 35:19 BHN

19 Kwa hiyo mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nasema kwamba Yonadabu mwana wa Rekabu hatakosa hata mara moja mzawa wa kunihudumia daima.”

Kusoma sura kamili Yeremia 35

Mtazamo Yeremia 35:19 katika mazingira