Yeremia 36:1 BHN

1 Mnamo mwaka wa nne wa utawala wa Yehoyakimu mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, neno hili la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia:

Kusoma sura kamili Yeremia 36

Mtazamo Yeremia 36:1 katika mazingira