Yeremia 35:4 BHN

4 nikawaleta kwenye nyumba ya Mwenyezi-Mungu, katika chumba cha wana wa Hanani mwana wa Igdalia, mtu wa Mungu. Chumba hicho kilikuwa karibu na ukumbi wa wakuu, juu ya ukumbi wa Maaseya mwana wa Shalumu, mlinzi wa ukumbi.

Kusoma sura kamili Yeremia 35

Mtazamo Yeremia 35:4 katika mazingira