Yeremia 35:5 BHN

5 Kisha nikaleta vikombe na mabakuli yaliyojaa divai mbele ya hao Warekabu, nikawaambia, “Kunyweni divai.”

Kusoma sura kamili Yeremia 35

Mtazamo Yeremia 35:5 katika mazingira