Yeremia 35:7 BHN

7 Msijenge nyumba, msilime mashamba, wala msiwe na shamba la mizabibu. Lakini mtaishi katika mahema siku zote za maisha yenu, ili mpate kuishi siku nyingi katika nchi mnamoishi kama wageni.’

Kusoma sura kamili Yeremia 35

Mtazamo Yeremia 35:7 katika mazingira