Yeremia 35:8 BHN

8 Sisi tumeitii daima amri hiyo ya mzee wetu Yonadabu mwana wa Rekabu, kuhusu jambo alilotuamuru. Sisi hatunywi kamwe divai; sisi wenyewe hatunywi, wala wake zetu, wala watoto wetu wa kiume au wa kike.

Kusoma sura kamili Yeremia 35

Mtazamo Yeremia 35:8 katika mazingira