Yeremia 38:11 BHN

11 Basi, Ebedmeleki akawachukua watu hao na kwenda pamoja nao ikulu kwa mfalme, wakaingia katika ghala ya ikulu; Ebedmeleki akatwaa nguo zilizotumika na matambara makuukuu, akamteremshia Yeremia kisimani kwa kamba.

Kusoma sura kamili Yeremia 38

Mtazamo Yeremia 38:11 katika mazingira