12 Kisha Ebedmeleki, Mwethiopia, akamwambia Yeremia, “Weka hayo matambara kwapani mwako, kisha pitisha kamba hizo chini ya matambara hayo.” Yeremia akafanya hivyo.
Kusoma sura kamili Yeremia 38
Mtazamo Yeremia 38:12 katika mazingira