Yeremia 38:13 BHN

13 Kisha wakamvuta Yeremia kwa kamba, wakamtoa kisimani. Baada ya hayo, Yeremia akaendelea kukaa katika ukumbi wa walinzi.

Kusoma sura kamili Yeremia 38

Mtazamo Yeremia 38:13 katika mazingira