Yeremia 38:14 BHN

14 Wakati fulani mfalme Sedekia alitaka kumwona nabii Yeremia. Basi, akaagiza Yeremia aletwe kwenye mlango wa tatu wa hekalu la Mwenyezi-Mungu. Huko, mfalme alimwambia Yeremia, “Nataka kukuuliza jambo fulani; usinifiche kitu chochote.”

Kusoma sura kamili Yeremia 38

Mtazamo Yeremia 38:14 katika mazingira